JERSON SAMSON Kwaresma, oleo sa kambas, 2025 #artPH

seen from United Kingdom
seen from Greece
seen from Türkiye

seen from Greece
seen from Germany
seen from United States
seen from Türkiye
seen from United Kingdom
seen from South Korea
seen from United States

seen from Russia

seen from Belarus

seen from Malaysia
seen from Philippines
seen from Yemen
seen from United States

seen from Denmark

seen from Norway
seen from United States
seen from Yemen
JERSON SAMSON Kwaresma, oleo sa kambas, 2025 #artPH
Dominika ya Matawi (Dominika ya Mateso ya Bwana): Anza Wiki Kuu kwa Unyenyekevu na Toba ya Dhati
Ndugu Mpendwa Dominika ya Matawi inaashiria mwanzo wa Wiki Kuu, na waamini wanahimizwa kuingia kipindi hiki kwa unyenyekevu na moyo wa toba. Ingawa si siku rasmi ya kufunga, tunashauriwa kufanya funga ya moyo kwa kujinyima maneno yasiyo ya lazima, malalamiko, na anasa, ili kujitakasa kwa ajili ya mateso ya Kristo. Tunamkumbuka Yesu akiingia Yerusalemu kwa unyenyekevu, akiwa juu ya punda,…
Kwaresma Siku ya 39: Jitakase Kabla ya Wiki Kuu
Wapendwa, Tunaopelekea Wiki Kuu, na mafundisho yanatualika kufunga kwa nia ya kujitakasa kiroho ili kumpokea Kristo kwa moyo safi. Waamini wanahimizwa kujinyima chakula au starehe wanazozipenda sana, na kutumia muda huo kufanya tafakari ya kina, kuchunguza dhamiri kwa kutumia Amri za Mungu, na kuandika dhambi zao kwa ajili ya maandalizi ya kitubio. Sala ya leo inalenga kuomba uamsho wa ndani wa…
Kwaresma Siku ya 38 : Jinyime kwa Ajili ya Wale Wasioamini
Mpendwa, Mafundisho ya leo yanahimiza waamini kufunga kwa nia ya kuombea wale waliopoteza imani au hawamjui Mungu kabisa. Kwa kujinyima mlo au starehe fulani, tunashiriki katika kazi ya ukombozi wa Mungu kwa niaba ya wengine. Hii ni sadaka ya upendo yenye nguvu ya kiroho. Katika sala, tunahimizwa kumwomba Mungu atupatie mioyo laini na roho ya kutii, tukitafakari maneno kutoka Ezekieli 36:26.…
Kwaresma Siku ya 37 : Jinyime Kwa Ajili ya Kuwa Karibu Zaidi na Yesu
Mpenda, Karibu Mafundisho ya leo yanatualika kufunga kwa namna ya kiroho kwa kujinyima si tu chakula, bali pia maneno yasiyo ya lazima, malalamiko, na majivuno. Lengo ni kujiunganisha kwa undani na mateso ya Kristo anayekaribia kuingia katika mateso ya Pasaka. Kama Yesu alivyonyamaza mbele ya washtaki wake, waamini wanahimizwa kufanya funga ya kimya na utulivu wa moyo. Katika sala, tunaalikwa…
Kwaresma Siku ya 28: Rejea kwa Bwana kwa Moyo Wako Wote
Ndugu mpendwa katika Kristo, Ndugu msomaji mpendwa,Katika kipindi hiki cha Kwaresma, Kanisa linakualika kwa upendo wa dhati umrudie Mungu kwa moyo wako wote. Tafakari hii inatukumbusha yale tuloyaanza mwanzao wa Kwaresma, yaani imekuelekeza kwenye njia kuu tatu za kiroho zinazoweza kukusaidia katika safari ya toba na wongofu: sala, kufunga, na matendo ya huruma. Kumbuka kuwa sala ni mazungumzo…
Siku ya 4 - Yosefu, Mlinzi wa Kanisa
Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina Sala ya Mwanzo Ee Mtakatifu Yosefu, tunakuja kwako kwa imani tukikuomba uombee mahitaji yetu. Wewe uliyesimamia Familia Takatifu kwa upendo na uaminifu, tuongoze na kutufundisha kuishi maisha matakatifu. Tuombee ili tupate neema za Mungu kwa maombezi yako. Amina. Sala ya Siku Husika Ee Mtakatifu Yosefu, mlinzi wa Kanisa, omba kwa…
Dominika (Jumapili) ya 1 ya Kwaresima
Tumsiafu Yesu Kisto, Milele Amina Karibu mpendwa kwenye Dominika (Jumapili) ya Kwanza ya Kwaresma Kadiri ya mafundisho ya kanisa, leo hakuna wajibu wa kufunga au kujizuia nyama leo, kwani Jumapili ni siku ya Bwana. Furahia chakula kwa kiasi na mshukuru Mungu, huku ukikumbuka wahitaji kwa kuwashirikisha furaha yako. Hudhuria Misa, sikiliza mahubiri kwa makini, na shiriki tafakari ya kifamilia…