#DW: Usain Bolt awaaga mashabiki wake | Michezo | DW
#DW: Usain Bolt awaaga mashabiki wake | Michezo | DW
[ad_1]
Wiki hii mashabiki katika michezo ya ubingwa wa dunia walishuhudia mkimbiaji maarufu Usain Bolt akiwaaga mashabiki , lakini kwa masikitiko makubwa wakati aliposhindwa kuanga kwa kung’ara , baada ya kuambulia medali ya shaba tu katika mbio zake maarufu za mika 100 na pia kushindwa kabisa kuambulia kitu katika mbio za mita 400 kupokezaja vijiti.
Zaidi…
View On WordPress








