TUMIA BAHASHA! Ushawahi kabidhiwa pesa ndani ya bahasha? Vipi ulijisikiaje? Na uliyaonaje mazingira ya makabidhiano hayo? Au ushawahi mkabidhi mtu fedha kwa kutumia bahasha? Makabidhiano yaliendaje? Na alijisikiaje? Ukilinganisha na kukabidhiwa noti zikiwa zimekunjwa kunjwa? Vipi njia hii inafaa? Nahitaji jua maoni yako..... Karibu #Ustaarabu #Fedha #Pesa #OuttaCurioCity #Maarifa #WaNURU🐝 #Inanihusu (at Korogwe)











