Etekcity Digital Body Weight Bathroom Scale
seen from China
seen from United States
seen from United States
seen from Germany

seen from United States
seen from China
seen from United States
seen from United States
seen from Croatia
seen from Russia
seen from Russia
seen from United States
seen from United States
seen from Yemen
seen from United States
seen from United States

seen from Malaysia

seen from Türkiye
seen from China

seen from Austria
Etekcity Digital Body Weight Bathroom Scale
TUNATOA HUDUMA YA RAMANI, BAJETI, UJENZI NA USIMIZI WA UJENZI WA MABANDA BORA YA MIFUGO Ujenzi wa banda bora ni kitu muhimu sana hasa kama una malengo ya kufuga kibiashara Mifugo Tz inamafundi na wataalamu wenye uzoefu wa kutosha katika ujenzi wa banda ya kisasa. Lakini pia usisite kututafuta kwa ushauri wa ujenzi wa mabanda, ufugaji bora na ushauri wa mambo mengine yanayohusiana na ufugaji, tupo kukushauri, na kuona unafanikiwa kwenye ufugaji. Karibu tukuhudumie. Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #kuroiler #sasso #mbuzi #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/B4sS3NiA-3H/?igshid=tdcj2c1ueeib
Drinker za kisasa | Vifaa vya kisaaa ambavyo hutumika kuwapa kuku maji ya kunywa. #drinkerzandoo Faida za drinker za kisasa 1. Hupunguza uwezekano wa kuku kupata magonjwa au maambukizi ya magonjwa maana maji yanakua ndani ya ndoo na yanatoka kidogo kidogo kama matone pale Kuku anapo igusa nipple. 2. Hupunguza ukubwa wa kazi, kwamaana huta na tabu ya kuziosha drinker zako kila siku, kwakuwa kuku hawezi chafua maji yalio ndani ya drinker hii. 3. Drinker hizi hubeba maji mengi kwa wakati mmoja, ndrinker moja hubeba maji kiasi cha lita 20, hivyo unaweza kukaa siku 2 au 3 bila kuweka maji mengine. 4. Drinker hizi ni rahisi sana kutumia, mana utakuwa unajaza maji tu kwenye drinker na kuendelea na shughuli zingine. 5. Drinker hizi ni imara sana, hudumu muda mrefu bila kuharibika Karibuni sana Mifugo Tz | Home of our farmers Karibu tukuhudumie tuna wataalamu walio wenye uzoefu wa kutosha. Jiunge nasi kwenye WhatsApp groups, ili uendelee kujifunza mengi na kukutana na familia ya wafugaji. Kujiunga tuma jina lako WhatsApp kwenye 0712253102 Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz #TeamWorkDoubleSuccess Phone: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #kuroiler #sasso #mbuzi #mbwa #daressalaam #morogoro #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/B3zVEW4Au4u/?igshid=16scyjblh8qk5
Fahamu mbinu bora za utunzaji wa kuku nyama | broiler Joto la kutosha ni kitu muhimu cha kuzingatia ili kuzuia vifo kwa Vifaranga Tumia bruda na vyungu Vya joto katika kulea Vifaranga Fahamu kuhusu vyungu vya kulea vifaranga kwa lengo la kuokoa gharama za kutumia umeme au gesi. Umuhimu wa vyungu. 1• Vyungu hivi vinauwezo wa kutoa joto kwajili ya vifaranga na hata kuku wakubwa. 2• Vyungu vinauwezo wa kutoa joto zaid ya masaa kumi na mbili ( 12hrs) 3• Ukiweka mkaa asubuhi ni hadi jioni ndio utaongeza tena. 4• #Chungu kimoja kinauwezo wa kuhudumia vifaranga 100 ndani ya bruda 5• Kama hauta tumia bruda chungu kimoja kitaweza kutoa joto LA kulea vifaranga 80 hadi 90. 6• #Chungu hutumia mkaa mchache sana hivyo hupunguza gharama za matumizi ya umeme au gesi 7• #Vyungu vinauwezo wa kukuza vifaranga vizuri na hukua kwa afya njema. Sifa za vyungu kutoka @mifugo_tz a. Udongo wake ni mfinyanzi asilia kwa 100% b. #Vyungu ni vizito c. Vina ukubwa wa kutosha d. Vina matundu ya kutoa joto la kutosha f. Vinauimara wa kutosha Bei ya chungu kimoja • Morogoro = 12,000Tsh • Dar es salaam = 15,000Tsh • Mwanza = 15,000Tsh Vyungu hivi unapata ukiwa mkoa wowote tunakutumia ulipo. Dar es salaam contact | Dr Kessy +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Morogoro tupo morogoro mjini tupigie simu Mwanza tupo nyashishi tupigie simu Mikoa mingine unatumiwa Email: [email protected] Huduma zetu utapata ukiwa mkoa wowote Tanzania Jiunge nasi kwenye WhatsApp group kujifunza mengi @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #daressalaam #morogoro #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vunguvyajoto #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/B23J_nlghFM/?igshid=potpm26lsk69
Mifugo Tz Pet's Vaccination Card Available | Price @ 3,000Tsh Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani #arusha #daressalaam #mwanza #mbeya #dodoma https://www.instagram.com/p/B3C5mZ_An3w/?igshid=1nrru8ofcdx05
Fahamu kuhusu vyungu vya kulea vifaranga kwa lengo la kuokoa gharama za kutumia umeme au gesi. Umuhimu wa vyungu. 1• Vyungu hivi vinauwezo wa kutoa joto kwajili ya vifaranga na hata kuku wakubwa. 2• Vyungu vinauwezo wa kutoa joto zaid ya masaa kumi na mbili ( 12hrs) 3• Ukiweka mkaa asubuhi ni hadi jioni ndio utaongeza tena. 4• #Chungu kimoja kinauwezo wa kuhudumia vifaranga 100 ndani ya bruda 5• Kama hauta tumia bruda chungu kimoja kitaweza kutoa joto LA kulea vifaranga 80 hadi 90. 6• #Chungu hutumia mkaa mchache sana hivyo hupunguza gharama za matumizi ya umeme au gesi 7• #Vyungu vinauwezo wa kukuza vifaranga vizuri na hukua kwa afya njema. Sifa za vyungu kutoka @mifugo_tz a. Udongo wake ni mfinyanzi asilia kwa 100% b. #Vyungu ni vizito c. Vina ukubwa wa kutosha d. Vina matundu ya kutoa joto la kutosha f. Vinauimara wa kutosha Bei ya chungu kimoja • Morogoro = 12,000Tsh • Dar es salaam = 15,000Tsh • Mwanza = 15,000Tsh Vyungu hivi unapata ukiwa mkoa wowote tunakutumia ulipo. Dar es salaam contact | Dr Kessy +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Morogoro tupo morogoro mjini tupigie simu Mwanza tupo nyashishi tupigie simu Mikoa mingine unatumiwa Email: [email protected] Huduma zetu utapata ukiwa mkoa wowote Tanzania Jiunge nasi kwenye WhatsApp group kujifunza mengi @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #daressalaam #morogoro #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vunguvyajoto #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/B3FiRa0gOwr/?igshid=1xdrqvgc5wub1
VYUMA VINGINE | TUNAUZA #PUPPY | MBWA WAKALI WA ULINZI AINA YA GERMANY SHEPHERD German Shepherd Dog (GSD) ni mbwa anaefunfishika kirahisi lakini pia ni aina zuri sana ya mbwa inayofaa kwa ulinzi. Mbwawa ndiye mnyama ambaye kwa asilimia kubwa anafugwa kwa ajili ya ulinzi, japo mara chache hufugwa kwa mapambao kutegemeana na aina ya mbwa mwenyewe. Unaweza kushangaa, lakini wanyama hawa ni werevu na ni wakali pia. Location Tegeta, Dar es salaam na Morogoro mjini. Kutupata wasiliana nasi kupitia: Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #kuroiler #sasso #mbuzi #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/B2i7VM9ANMC/?igshid=23u5merrp4kf
TUNAUZA #PUPPY | MBWA WAKALI WA ULINZI AINA YA GERMANY SHEPHERD German Shepherd Dog (GSD) ni mbwa anaefunfishika kirahisi lakini pia ni aina zuri sana ya mbwa inayofaa kwa ulinzi. Mbwawa ndiye mnyama ambaye kwa asilimia kubwa anafugwa kwa ajili ya ulinzi, japo mara chache hufugwa kwa mapambao kutegemeana na aina ya mbwa mwenyewe. Unaweza kushangaa, lakini wanyama hawa ni werevu na ni wakali pia. Location Tegeta, Dar es salaam na Morogoro mjini. Kutupata wasiliana nasi kupitia: Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #kuroiler #sasso #mbuzi #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/B2ZfIYdgY7x/?igshid=wr3fr1b9sv7o