TUNAUZA NG’OMBE BORA KWA UFUGAJI NA BIASHARA
Unatafuta ng’ombe wenye afya na uzalishaji mzuri? JOACK COMPANY LIMITED tunatoa ng’ombe bora wanaofaa kwa ufugaji wa maziwa, nyama na uzalishaji wa kibiashara.
Huduma zetu:
Uuzaji wa ng’ombe wa maziwa na nyama
Ng’ombe wenye afya na waliotunzwa kitaalamu
Ushauri wa ufugaji bora na lishe sahihi
Mwongozo wa matunzo na uzalishaji wenye tija
Tunazingatia ubora ili kuhakikisha mfugaji anapata faida na mifugo yenye maendeleo mazuri.
Wasiliana nasi sasa:
WhatsApp/Simu:
+255 712 25 31 02
+255 692 43 02 63
#JOACKCompanyLimited #NgombeBora #UfugajiWaNgombe #DairyFarmingTZ #BeefFarmingTZ #MifugoTanzania #KilimoNaMifugo #UfugajiBora











