Vituo katika Uandishi
Vituo vinavyotumika katika Uandishi na Usomaji
Katika uandishi vituo ni alama anuaizinazowekwa kabla au baada ya maneno Fulani ili kumwelekeza msomaji namna ya kusoma ili apate maana iliyokusudiwa.
Zipo alama nyingi, lakini zinazotumiwa mara nyingi ni:
Nukata (.)
Nukta mbili (:)
Mkato (,)
Ulizo (?)
Mshangao (!)
Nukta na Mkato (;)
Vituo hivi katika uandishi pindi vinapozingatiwa katika usomaji…
View On WordPress















