Yani duniani kuna mambo… kuna wanasayansi na madaktari kila siku wanatafta njia mpya kuponesha magonjwa mbali mbali. Kuna daktari mmoja amefanikisha kufanya upasuaji wa ajabu. kichwa kupandikiza ni operesheni upasuaji ambao unahusisha kupachika kichwa kimoja cha kiumbe kwenye mwili wa mwingine.
Kwenye Karne hii tutaona teknolojia ya matibabu ambayo yataathari maisha ya binadamu, Upandikizwaji wa kwanza wa vichwa kuanza mwakani na daktari anaeitwa Sergio Canavero.
Kwa mujibu wa Prof Canavero , timu iliongozwa na Xiaoping Ren walithibitisha kwamba mnyama anaweza kuishi bila ya kuumia ubongo wanapofanya upasuaji huu wa kupandikiza kichwa. ” Tumbili kikamilifu alinusurika utaratibu wote wa upasuaji bila jeraha lolote la mishipa ya fahamu ,” anasema Prof Canavero , lakini alisema ilikuwa tu kuwekwa hai kwa masaa 20 tu baada ya utaratibu kwa sababu za kimaadili.
This slideshow requires JavaScript.
Hizi ni hatua ambazo zinatarajiwa kutumika kwenye upasuaji huo.
2.Baada ya hapo shingo itakatwa na mipira iunganishwe na mishipa tofuati ya mwili.
3.Sehemu ya uti wa mgongo itakatwa na kisu maalum kilichotengenezwa kwa almasi kutokana na nguvu za jiwe hilo kwa kuwa sehemu hiyo ni ngumu.
4.Baadaye kichwa kinaunganishwa na mwili pamoja na uti wa mgongo kwa kutumia kwa gundi maalum.
5.Misuli, mishipa na sehemu za ndani ya mwili zinarudishwa na ngozi inashonwa upya.
Upasuaji huu utasaidia watu wenye ugonjwa wa ulemavu na wameshajitokeza kwa dk huyu kumuomba awafanyie.ona habari yake na video kuhusu ugonjwa wake hapa
historia fupi ya maibabu haya ingia hapa:
je unafikiria nini kuhusu matibabu haya ya ajabu?
ona zaidi hapa: http://www.bongo5.com/upandikizwaji-wa-kwanza-wa-vichwa-kuanza-mwakani-09-2016/
Yani duniani kuna mambo… kuna wanasayansi na madaktari kila siku wanatafta njia mpya kuponesha magonjwa mbali mbali.
Kupandikizwa Kichwa Yani duniani kuna mambo... kuna wanasayansi na madaktari kila siku wanatafta njia mpya kuponesha magonjwa mbali mbali.