#shirtoftheday #Barshasketh #defyingthebondsofcosmicthraldom #sitraachra #ophidianhenosis #blackmetal #deathmetal https://www.instagram.com/p/CY0QqKPsL7o/?utm_medium=tumblr
seen from United States
seen from India

seen from Russia

seen from United States
seen from United States
seen from United Kingdom
seen from China

seen from United States
seen from Bulgaria
seen from China
seen from China

seen from United States

seen from Russia
seen from Türkiye

seen from Greece
seen from Romania
seen from United Kingdom
seen from United States
seen from Tonga
seen from China
#shirtoftheday #Barshasketh #defyingthebondsofcosmicthraldom #sitraachra #ophidianhenosis #blackmetal #deathmetal https://www.instagram.com/p/CY0QqKPsL7o/?utm_medium=tumblr
#Barshasketh #sitraachra #ophidianhenosis #blackmetal #penetrationsofdarkness https://www.instagram.com/p/B4ZGlCKpsAA/?igshid=14lzt39les5f7
Kama huna gari, kama hujawahi kabisa kumiliki gari, kwa nini umwombe Mungu Toyota V8 badala ya IST? Wengi hawapati wanachokitaka kwa sababu hawajui wanachokitaka. Ukiomba kitu usichostahili kupata hujaomba kutoka moyoni, yaani, imani yako ina udhaifu. Mungu hakupi kila unachokitaka. Anakupa kila unachostahili kupata. Hata ukitumia CTTC, kanuni ya mafanikio ya Enock Maregesi, kuomba kile usichostahili kupata utakipata kwa nguvu ya SITRA ACHRA. SITRA ACHRA ni nguvu ya Shetani inayopingana na nguvu ya Mungu. Si rahisi kuwa na imani ya kudumu katika maisha haya, kwa sababu asili yetu hupingana na asili ya Mungu wakati wote. Hivyo, jambo la msingi si kumwomba Mungu kitu. Jambo la msingi ni kumwomba Mungu nguvu ya imani kwanza kabla ya kitu unachokitaka. Chukia kwamba huna imani ya kudumu, kwamba imani yako hukatikakatika, kwani Mungu atajua unamheshimu na atakubariki kulingana na uvumilivu wako. Hata ukipata shida kiasi gani usimkashifu Mungu, kwani shida ni majaribu na bila shida hakuna mtu atakayeuona ufalme wa Mungu. Ukiomba kitu usichostahili kupata kwa Mungu hicho ni kiburi! Anajua lengo lako ni kuringishia watu. #toyotav8 #toyotaist #kiburi #pride🌈 #sitraachra #mungu #god https://www.instagram.com/p/BsVjaQ8HE8W/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1dn173imbxj6l
Shaka yoyote ile ndani ya imani ni ukweli halisi wa nguvu ya upande wa pili, SITRA ACHRA, au nguvu ya Shetani. Imani ya kweli haina shaka yoyote ile na ndiyo itakayokupa LISHMA, au upendo halisi wa Mungu; kutokana na LO LISHMA, ambao ni upendo bandia wa wanadamu. Kuondoa shaka katika imani yako tubu dhambi zako zote, kisha fanya mazoezi ya kuwa na upendo wa kweli, kwani hakuna nguvu kubwa ulimwenguni kama nguvu ya upendo. Una uwezo wa kujenga nchi nzima lakini unajenga nyumba moja tu tena ya tope, kisha nyumba yenyewe inapeperushwa na upepo mkali. Ingia ndani ya akili yako kujenga nchi. Usiupoteze bure uwezo uliopewa na Mungu. #imani #faith #sitraachra #lishma #lolishman #upendo #love https://www.instagram.com/p/BsSghfFHVTm/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1syicijpjk467
Algo de lectura ligera para esta noche #CurrentlyReading #Qliphoth #SitraAchra #TyphonianGnosis