Repost from @officialalikiba - Ewe Mwenyezi Mungu hakika Mzee Wetu Amri Bin Athuman (King Majuto) yuko katika dhima yako na kamba ya ujirani wako, basi mkinge na fitina ya kaburi na dhabu ya moto nawe ndiwe mstahiki wa utekelezaji na ukweli msamehe na umrehemu hakika Wewe ni mwingi wa kusamehe, mwingi wa kurehemu.AMIN #SupportedByKiba #kingkiba #the_runner_boy #restinpeace (at Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BmP4wYglBl-/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=l3bb05zjdliy

















