Wawakilishi Kutoka Shule zote wilayani Serengeti Wakifatilia kwa karibu Taarifa za Utendaji Kazi wa Chama cha Walimu(CWT)Serengeti Kwa Kipindi cha April 2020-Sept 2022. . . @chama_cha_walimu_tanzania @cwtysadah @tumeyautumishiwawalimu @walimu__tanzania #walimu https://www.instagram.com/p/Cj_RemGt0RA/?igshid=NGJjMDIxMWI=









