#fact @tonymkongo na @agent_bavo Kwa miaka mingi Watanzania tumekuwa Utamaduni wa kuto thamini Talent zetu, Watu wengi wana vipaji vikubwa sana, lakini Hawathaminiki, Na mara chache umuhimu wao huonekana wakisha kufa, Naamini tungekuwa na system bora Nchi yetu ingekuwa kiwanda cha uzalishaji wa Matajiri wakubwa sana, Mfano hii video kuna tofauti gani na mapigano ya kina @tonyjaaofficial au wakina @thescottadkins , ukitoa ubora wa production ya vifaa naamini tuna mastaa wengi sana.. Nafikiri mheshimiwa waziri mwenye dhamana @harrisonmwakyembe na naibu waziri @juliana_shonza wanafaa kuona namna ya kuboresha tasnia yetu ili wasanii wenye vipaji waanze kunufaika na vipaji vyao... #factsonly (at Kariakoo, Dar es Salaam) https://www.instagram.com/p/B_CjU6OgPVu/?igshid=1w471f48tkdzc












