#DW: Maoni: Kagame abakia - Demokrasia ya Rwanda ni ya kifisadi | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Maoni: Kagame abakia – Demokrasia ya Rwanda ni ya kifisadi | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Uchaguzi uliohusisha vyama vingi nchini Rwanda ulikuwa ni kiini macho tu cha uchaguzi huru na wa haki. Mbali na rais Paul Kagame kutoka chama kinachotawala cha RPF (Rwanda Patriotic Front), wagombea wengine wawili ambao waliruhusiwa kushiriki ni Frank Habineza wa Chama cha Kijani na mgombea wa kujitegemea Philipp Mpayiman. Pia kwa sababu ya ukosefu wa hali ya ushindani ni kutokuwepo…
View On WordPress














