#DW: Argentina huenda isifike Urusi mwakani
#DW: Argentina huenda isifike Urusi mwakani
[ad_1]
Brazil itafanyia mabadiliko kikosi chake kwa ajili ya michezo ya kuwania kukata tikiti kwa kundi la mataifa ya Amerika ya kusini , ambayo yaelekea Chile huenda ikakaa nje ya fainali hizo mwaka ujao. Kocha wa Brazil Tite alimtumia mlinda mlango Ederson na mlinzi Maeguinhos katika kikosi chake kikuu wakati wa mazowezi mjini Sao Paulo jana Jumapili.
Brazil …
View On WordPress












