#TRT: Rais Erdoğan atahadharisha njama za Magharibi kusambaratisha umma wa kiislamu Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atahadharisha njama za ulimwengu wa Magharibi kuwa na njama za kutaka kuugama kwa makundi umma wa kiislamu.

seen from United States
seen from Norway
seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from Malaysia
seen from Japan
seen from Japan

seen from Japan
seen from Malaysia

seen from United Kingdom
seen from United States
seen from China
seen from Türkiye

seen from Malaysia
seen from China

seen from Belarus
seen from Ukraine

seen from Australia
seen from China
#TRT: Rais Erdoğan atahadharisha njama za Magharibi kusambaratisha umma wa kiislamu Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atahadharisha njama za ulimwengu wa Magharibi kuwa na njama za kutaka kuugama kwa makundi umma wa kiislamu.
#TRT: Viongozi wa mataifa ya kiislamu wakutana mjini Istanbul nchini Uturuki Shirikisho la kiislam linakutana katika mkutano wake ussikuwa wa kawaida chini ya usimamizi wa Uturuki baada ya uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.
#TRT: Waziri mkuu wa Uturuki atolea wito mataifa ya kiislamu kupatia ufumbuzi suala la Jerusalem Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım atolea wito mataifa ya kiislamu kuungana ili kupatia ufumbuzi suala la mji mtakatifu wa Jerusalem.
#TRT: Mfalme wa Saudi Arabia awaalika viongozi wa kiislamu kukutana na Trump Mfalme wa Saudi Arabia awaalika viongozi wa kiislamu katika kongamano na rais wa Marekani Mfalme wa Saudi Arabia awaalika viongozi wa kiislamu katika kongamano linalotarajiwa kufanyika nchini humo Juma lijalo na rais wa Marekani Donald Trump.
#TRT: Yusuf Islam: “Uturuki ni mfano kwa ulimwengu wa kiislamu “ Muimbaji wa Uingereza aliesilimu Cat Stevens asema kuwa Uturuki ni mfano katika ulimwengu wa kiislamu Muimbaji wa Uingereza aliesilimu Cat Stevens na kubadilisha jina kuwa Yusuf Islam amehudhuria katika hafla iliondaliwa ya maonesho ya vitabu ikiwemo kitabu chake ambacho anazungumzia kuhusu safari yake ya kiimani kutoka Cat Stevens kwenda kwa Yusuf Islam.