#TAFAKARI YANGU NI MANENO YA MTUMISHI WA MUNGU JOHN MAGUFULI AMBAYE NI RAIS WA AWAMU YA TANO KUONGOZA TAIFA LA TANZANIA ❕ . Naomba nimnukuu Rais Magufuli: "Msema #kweli ni mpenzi wa #Mungu.Naomba #mnioombee watanzania. "Binafsi, kwa sasa nakubaliana na ombi lake Mhe.John Magufuli kwa #sababu kadhaa ! . Nawe #msomaji wangu hapa unaweza kulitafakari Neno la Mungu kutoka katika #Biblia ( 1TIMOTHEO 2:1-4) na kuchukua hatua ya kumwombea #Rais na wasaidizi wake yaani #Makamu wa Rais, #Waziri Mkuu, #wakuu wa mikoa na wilaya. Pia,tuwaombee wakuu wa taasisi za #Siasa, #ulinzi na #usalama ! NENO LA MUNGU LINASEMA: 1 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; 2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. 3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; [1#TIMOTHY 2:1-4 KJV #BIBLE] Nitoe wito kwa #Wakuu wa nchi na wenye #Mamlaka wasisubiri kuombewa bali nao wamtafute Muumba wao kama #mfalme Sulemani; kwa kuomba #Hekima na #Maarifa ya Mungu ili kuongoza nchi kwa Utulivu na Amani ili tupate kurithi Utajiri udumuo kutoka Muumba mbingu na nchi. NENO LASEMA: Sulemani akaipandia huko madhabahu ya shaba mbele za BWANA, iliyokuwako hemani pa kukutania, akatoa sadaka elfu za kuteketezwa juu yake. 7 Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe. 8 Sulemani akamwambia Mungu, Umemfanyia baba yangu Daudi fadhili kuu, nawe umenimilikisha mimi badala yake. 9 Basi sasa, Ee BWANA Mungu, na limyakinie baba yangu Daudi neno lako; maana umenitawaza niwe mfalme juu ya watu wengi kama mavumbi ya nchi. 10 Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi? 11 Naye Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha za wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; bali umejitakia hekima na maarifa, upate kuwahukumu watu wangu, niliokutawaza juu yao; 12 basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, .... [2#CHRONICLES 1:1-12 #KJV ] https://www.instagram.com/kongwastone/p/BPKJLc6gVpK/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=spejfax6t01a












