Ye ye yebabaaaa Inasemekana eti #Kadogo by @officialalikiba Inawatesa #TeamMatusi 🤣🤣 . Jamani Msitesekee Dawa ya muziki mzuri ni kuucheza na sio kuuzima kwasababu Moto Wa Volcano Hauzimikagi kwa fire Extinguisher . Tarehe 29 #KingKiba anafunga Mwaka . Naskia Team Matusi Wanajipanga kuhakikisha Kiba Hafanikiwi cku hiyo 🤣🤣 . #TabuIkoPalePale https://www.instagram.com/p/BraHyCHBsrj/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1ph8kxw53j1ps











