#DW: Kampeni za kansela Angela Merkel | Uchaguzi wa Ujerumani 2017 | DW
#DW: Kampeni za kansela Angela Merkel | Uchaguzi wa Ujerumani 2017 | DW
[ad_1]
Kwa sasa limekuwa ni jambo la kila siku kumuona Angela Merkel akienda kusini, kaskazini , magharibi na mashariki nchini kote Ujerumani katika juhudi za kuendesha kampeni yake ya uchaguzi. Kansela Merkel hadi kufikia siku ya uchaguzi tarehe 24 Septemba atakuwa amehutubia mikutano zaidi ya hamsini. Hadi sasa maelfu ya wananchi wamekwenda kumsikiliza anapohutubia.
Wanaompinga kansela…
View On WordPress









