#VOA. | Somalia yapata uungwaji mkono katika kampeni ya kutaka kuondolewa kwa vikwazo vya silaha
#VOA. | Somalia yapata uungwaji mkono katika kampeni ya kutaka kuondolewa kwa vikwazo vya silaha
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kupiga kura mwezi Novemba kuhusu kurejesha marufuku hayo ya kiasi, ambayo Somalia inasema inapaswa kuondolewa ili iweze kupambana vyema na magaidi wa al-Shabab. Uungwaji mkono wa Ethiopia ulikuja baada ya uvamizi wa nadra wa mwezi Julai wa wanamgambo wa Kiislamu nchini Ethiopia huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya Somalia na washirika wake…
View On WordPress