Today's featured song is: "Cubic Lube" by Samaki feat. Hatsune Miku! (warning: video contains flashing imagery)

seen from India
seen from United States

seen from United States

seen from Malaysia
seen from Georgia
seen from United States
seen from Canada
seen from Guatemala
seen from China

seen from Russia

seen from United Kingdom
seen from Venezuela

seen from Malaysia
seen from China

seen from Russia
seen from United States
seen from Singapore
seen from United States
seen from Netherlands
seen from Pakistan
Today's featured song is: "Cubic Lube" by Samaki feat. Hatsune Miku! (warning: video contains flashing imagery)
She’s groovy baby
Who says blue can't be a happy color? Also yes I know the leg looks weird I apologize.
Jamani what a tasty snack...#samaki on the go! #foodporn #chokablok #witcheslair (at Kisutu Girls Secondary School) https://www.instagram.com/p/CCI-4pLnmxh/?igshid=ojdnssqwd3jp
Jikoni Leo😉 Jioni/Usiku mwema 🙏🏽❤️ Good night🙏🏽❤️ : : “Kisha malaika akaniambia, “Maneno haya ni ya kweli na ya kuaminika. Bwana Mungu ambaye huwapa manabii Roho wake, alimtuma malaika wake awaoneshe watumishi wake mambo ambayo lazima yatukie punde. “Sikiliza! Naja upesi. Heri yake anayeyazingatia maneno ya unabii yaliyo katika kitabu hiki.” Mimi Yohane, niliyaona na kusikia mambo haya. Nilipokwisha sikia na kuona, nikajitupa chini mbele ya miguu ya huyo malaika aliyenionesha mambo hayo, nikataka kumwabudu. Lakini yeye akaniambia, “Acha! Mimi ni mtumishi tu kama wewe na ndugu zako manabii na wote wanaoyatii maagizo yaliyomo katika kitabu hiki. Mwabudu Mungu!” Tena akaniambia, “Usiyafiche kama siri maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, maana wakati wa kutimizwa kwake umekaribia. Kwa sasa anayetenda mabaya na aendelee kutenda mabaya, na aliye mchafu aendelee kuwa mchafu. Mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema, na aliye mtakatifu na azidi kuwa mtakatifu.” “Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake. Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.” Heri yao wale wanaoosha mavazi yao, wapate kuwa na haki ya kula tunda la mti wa uhai, na haki ya kuingia mjini kwa kupitia milango yake. Lakini mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu na wote wanaopenda kusema uongo, watakaa nje ya mji. “Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu awathibitishieni mambo haya katika makanisa. Mimi ni mzawa wa ukoo wa Daudi. Mimi ni nyota angavu ya asubuhi!” Roho na Bibi arusi waseme, “Njoo!” Kila mtu asikiaye hili, na aseme, “Njoo!” Aliye na kiu na aje; anayependa, na achukue maji ya uhai bila malipo.” #Ufunuo 22:6-17 : : Jikoni Leo hata sijui nipike nini baada ya hivi vitunguu 🤷🏽♀️ Wewe ungeweka nini hapo?😉 Mchana wema😉 : : #Jikonileo #samaki : : #kitchentoday #tilapiafish #fish #tescofood #chakula#food#africanfood #tanzanianfood #foodblogger#foodlover #inmykitchentoday #mapishi #mpishi #mswahili #stayhome#prayfortheworld #lockdown#covi̇d19 : #tanzania🇹🇿#uk🇬🇧#westmidlands#coventry #lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa❣️ https://www.instagram.com/p/CA0lKFfHoeQ/?igshid=wbmb9b1umuod
FAIDA ZA KUFUGA KAMBARE #Kambare ni aina ya #samaki wanaoweza kukua hadi kufi kia kilo 10 na hivyo humuwezesha #mfugaji kujipatia kipato na nyama zaidi kuliko #perege na aina nyingine za #samaki. Nyama ya #kambare imethibitishwa kuwa na kirutubisho kijulikanacho kama Omega-3, ambacho humpunguzia mlaji uwezekano wa kupata athari za magonjwa mbalimbali kama vile saratani, shinikizo la damu, na magonjwa ya akili. #Kambare wanapofugwa pamoja na #perege (kambare mmoja kwa kila perege wanne mpaka watano), hudhibiti mazaliano ya perege, hivyo kuwawezesha kukua hadi kufikia uzito mkubwa (mpaka kilo 5). #Tufuge kwa #tija #tufuge #kibiashara Kupata huduma wasiliana nasi kupitia simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #kuku #broiler #tanzania l #bata #kuchi #kilimoufugaji #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/Bxq2GtYDooW/?igshid=60q6cncs0rfr
Wakazi wa Takaungu wapinga mradi wa gesi wakisema utaua samaki Wakazi wa Takaungu wapinga mradi wa gesi wakisema utaua samaki. Check Out What's Up. Wakazi wa Takaungu wapinga mradi wa gesi wakisema utaua samaki…
Classroom floor??? It was but then a torture one in Cambodia... for what??? #espacecinko #cambodia #samaki #instagram #instagood #paris #exposition #heritagekhmer #khmer (à Espace Cinko) https://www.instagram.com/p/BombP4hlyqk/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=8ivf15ovj8bn