Siasa za Afrika | Je hotuba ya Kwanza Yoweri Kaguta Museveni Rais wa Uganda
Vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa vikisema ni “HOTUBA YA MABADILIKO YA KIMISINGI” Kaguta Museveni akila kiapo kwa mara ya kwanza kuwa Rais wa Uganda, katika Viwanja vya bunge, Kamapala Uganda mwaka 1986 Tarehe 29 Januari 1986, Yoweri Kaguta Museveni, akiapishwa kuwa rais wa Uganda kwa mara ya kwanza, alitoa hotuba ya kusisimua kuhusu tabia za viongozi wa Afrika kung’ang’ania…
View On WordPress












