TUNAUZA NDEGE AINA YA #KANGA, BEI NI SHILIGI ELFU KUMI NA TISA NA MIA TISA TU (19,900Tsh) #KANGA HAWA NI WAKUBWA KABISA UFUGAJI WA KANGA (GUINEA FOWL) #Fahamu: Kanga kwa kingereza anaitwa Guinea Fowl, kibaiolojia wapo kundi la ndege kama Kuku, kwale, bata, nk #Utagaji: Kwa utafiti uliofayika ndege hawa hawana magonjwa mengi kama kuku hutaga mayai 100 - 200 kwa mwaka #Kiota: Anapotaka kutaga hujitengenezea kiota mwenyewe bora umuache atagie hapopo. #Usafi: Kila baada ya kuangua kiota kisafishwe vizuri,kisha sehemu hiyo inyunyuziwe dawa ya kuua vijidudu kama vile utitiri, viroboto na kupe. #Michezo: Hupendelea kichanja kwa michezo yao wakiwa nje au ndani ya banda. #Jinsia: Utamtambua jinsia jike au dume anapofika miezi 7 #Soko: Anasoko la uhakika mmoja huuzwa kati ya sh 20 hadi 35, yai moja sh 1000. #Uzito: Kanga ana uzito wa kilo 2.4 hufungwa kama mradi, wengine hufuga kama mapambo nyumbani. #Chakula: Chakula chao ni nafaka kama vile mahindi, karanga, mpunga, wadudu, majani, na udongo. #kanga #ndege #guineafowl #ufugajiwakanga #kangawakisasa #kakaweupe #kangawamadoa Tupo kwajili ya wafugaji, Endeleeni kuwa nasi siku zote Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] Huduma zetu utapata ukiwa mkoa wowote Tanzania Jiunge nasi kwenye WhatsApp group kujifunza mengi @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/B3Ov0V2AZZQ/?igshid=qmj4ox5swttn