KUVUJA DAMU SANA: Nini cha kufanya ■ Kuvuja damu sana ni jambo linalomwogopesha mwathirika na mtu anayemsaidia. Mara nyingi hali ya kuvuja damu hutokana na jeraha kubwa kwa vile kuchomwa kisu, kupigwa kwa nguvu au kukatwa sana. ■ Lengo kuu ni kuzuia damu kuvuja na kuendelea kufuatilia hali ya mwathirika kwa ukaribu. Kama kiasi kikubwa sana cha damu kitapotea inaweza kuwa Hatari na hata kuhatarisha maisha □ JIFUNZE NINI CHA KUFANYA HAPA (BIO) 👉https://wikielimu.com/kuvuja-damu-sana/ #wikielimu #afya #afyayako #dharura https://www.instagram.com/p/COD7pHWLGHB/?igshid=1xfne4ebsszsq













