#DW: ZANU - PF kuamua hatma ya Mugabe
#DW: ZANU – PF kuamua hatma ya Mugabe
[ad_1]
Kwa mujibu wa wanachama wawili wa ZANU PF mkutano huo maalum wa wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho utaanza mwendo wa saa nne na nusu asubuhi. Ajenda kuu ni kuangalia uwezekano wa kumuondoa madarakani kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 93 ikiwa ni siku ya nne tangu jeshi la Zimbabwe lilipotwaa mamlaka, licha ya kusema halijafanya mapinduzi bali linapambana na wahalifu wanaomzunguka Rais…
View On WordPress















